Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 19, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Uwoya afungua Club siku yake ya kuzaliwa
Wapinzani wajitosa kufanya mikutano iliyozuiwa, waubatiza mwaka 2019