Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 4, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Video: CAG wingu zito, Msekwa alishangaa bunge
Kamati ya Bunge ilivyomalizana na Lema leo, kusuka au kunyoa kesho