Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyepata umaarufu wake mara baada ya kuchukua taji la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma katika kipindi cha MSTARI KWA MSTARI kinachopatikana Dar24 pekee amefunguka kisa kizima cha kutoa ngoma yake ya ‘Mazoea’.

Ambapo katika kipindi hiko cha Msatri kwa mstari amepata nafasi ya kuchambua mashairi aliyoimba kwenye wimbo huo.

Kutazama uchambuzi wa mashairi ya wimbo wa mazoea , bofya kitufe chekundu hapo chini.

Video: Makonda kujenga viwanja 5 vya michezo Dar, ampa shavu Hasheem Thabit
Zari ala shavu shindano la Miss Uganda 2018