Mbunge wa Jimbo la Tarime mjini, Esther Matiko na mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma pamoja na wanachama zaidi ya 15 waliokuwa wanashikiliwa na Polisi Wilayani Tarime wameachiwa kwa dhamana

Mbunge huyo pamoja na wanachama hao walikamatwa jana walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za udiwani katika Kata ya Turwa wilayani Tarime.

Video: Vijana fanyeni kazi acheni kulalamika - Majaliwa
Bunge lapiga chini mswada wa kubariki utoaji mimba

Comments

comments