Msanii kutoka Canada anaefanya kazi zake nchini Marekani Aubrey Drake Graham maarufu kama Drake aliyetamba na wimbo wa ‘God plan’ kwa mara ya kwanza amempandisha mwanamuziki kutoka Nigeria Wizkid  kwenye moja ya show zake kubwa huko mjini London Uingereza.

Drake ambae anafanya ziara ya Assassination Vocation alishawahi kufanya kolabo na Wizkid ikiwemo ‘One dance’ na ‘Come closer’ zilizoweza kushika namba moja kwenye chati za Media mbalimbali Duniani.

Hata hivyo wawili hao hawakuwahi kukutana kwenye stage moja sehemu yoyote ile hii imekuwa kama ‘suprise’ kubwa kwa mashabiki wa wasani hawa.

Drake kumkaribisha Wizkidi na kuimba nyimbo pamoja kitendo hiki kimehesabiwa kama  moja ya step kubwa kwa muziki wa Afrika.

Moja ya wimbo walioimba pamoja wakali hao ni pamoja ni soco wimbo amabo unafanya vizuri kwenye chart za Billbord.

 

 

LIVE: Rais Magufuli ziarani Njombe akizindua kiwanda cha kuchakata majani ya chai
Kauli ya Muroto ''Watapigwa na kuchakazwa'' yatua bungeni, Jafo aitolea ufafanuzi

Comments

comments