Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge na madiwani katika Kata mbalimbali uliofanyika hapo jana.

Katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Buyungu lililopo mkoani Kigoma, mgombea ubunge kupitia tiketi CCM, Christopher Chiza ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.

3cb9b31d-5dfb-42c4-8784-e22e650cd098-jpeg.834231

 

39036923_2091957467732206_7081217395297091584_n-jpg.834229

 

Lowassa afunguka madai ya ‘kuwatanguliza watu CCM’
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 13, 2018

Comments

comments