Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia kwa mgombea wake, Maulid Mtulia kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni.

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni, Aron Kagurumjuli amemtangaza Maulid Mtulia (CCM) kuwa mshindi wa ubunge jimboni humo.

Majeshi ya Congo DR na Rwanda yashambuliana
Dkt. Mollel aigaragaza Chadema jimbo la Siha