Mwenyekiti wa makampuni ya IPP na moja ya watu matajiri na mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka runinga ya ITV, na stesheni ya Radio ONE Mzee Mengi amefariki akiwa mjini Dubai.

Mzee Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro.

Endelea kufuatilia Dar24 Media kwa taarifa zaidi.

Rais Magufuli alivyoguswa na kifo cha Mzee Mengi, "Nitamkumbuka sana..."
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 2, 2019