Aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya uongozi wa chama cha wananchi (CUF), Julius Mtatiro amejivua uanachama wa chama hicho na nyazifa zote na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Kuanzia leo mimi ni balozi wa Rais Dkt. Magufuli- Julius Mtatiro
Video: DC Murro awatahadharisha madiwani waliotanguliza matumbo yao mbele

Comments

comments