Basi la Kampuni ya New Force lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea jijini Dar es Salaam limetumbukia katika mteremko wa Mlima Kitonga mkoani Iringa.

Aidha, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Deusdedit Kashindo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo katika eneo la mlima huo.

“Ni kweli ajali imetokea na RTO (mkuu wa usalama barabarani wa mkoa) anakwenda eneo la tukio. Lakini taarifa za awali kuna majeruhi tu hakuna vifo.”amesema Kamanda Kashindo

Chance The Rapper kugombea Umeya wa Chicago
Mourinho ashtakiwa kwa lugha chafu, apewa muda kujibu

Comments

comments